Monday, January 25, 2016

DK. JAKAYA KIKWETE AULA KIMATAIFA, ACHAGULIWA KWENYE JOPO LA WENYEVITI WA USHAURI NGAZI YA JUU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO DUNIANI

Jakaya-Kikwete
Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.

DK.REGNALD MENGI ASHIRIKI CHAKULA CHA MCHANA NA WATU WENYE ULEMAVU UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE DAR ES SALAAM

 Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Ltd, Dk. Regnald Mengi (kushoto), akizungumza na Cosmas Anthony ambaye ni mlemavu wa miguu kwenye tafrija ya chakula cha mchana aliyoiandaa maalumu kwa watu wenye ulemavu iliyofanyika Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam.

Sunday, January 24, 2016

Medeye na Guninita Wamvaa Benard Membe

Siku moja baada ya aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe kusema akionana na waliokuwa wanachama wa CCM na kuhamia upinzani anajisikia kichefuchefu, waliokuwa makada wa chama hicho wamemshukia kwa kauli yake hiyo.

Magazeti Ya Leo Jumapili Ya Leo Januari 24

Lowassa Apata Mapokezi Makabuwa Dakawa Wakati Akiwa Njiani Kuelekea Dodoma

Aliyekuwa mgombea Urais  katika uchaguzi wa Oktoba mwaka jana kwa tiketi  ya  UKAWA, Edward Lowassa jana alipata mapokezi makubwa kwa wakazi wa mnada wa Dakawa baada ya kusimama  na  kuwasalimia.

TOTO AFRICANS WAWANG'OA MAJIRANI ZAO PAMBA KATIKA MICHUANO YA KOMBE LA SHIRIKISHO.

Wachezaji wa Toto Africans (Jezi za Njano) wakisalimiana na wachezaji wa Pamba, kabla ya mchezo wao wa Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) uliochezwa katika uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza hii leo. Katika Mchezo huo Toto wamewatupa nje ya michuano hiyo majirani zao Pamba kwa jumla ya magori 4-1.

WAZIRI UMMY MWALIMU ATEMBELEA MNADA WA NYAMA CHOMA DODOMA

IMG-20160123-WA0051
Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza na wafanyabiashara wa eneo la Msalato lililopo mkoani Dodoma sehemu ambayo inatumika kufanyia mnada wa nyama choma ikiwa ni moja ya ziara zake kufatilia hali ya ugonjwa wa kipindupindu katika maeneo mbalimbali ya nchi, akiwa ameambatana na Mkuu wa Wilaya hiyo, Dkt. Jasmine Tiisekwa (mwenye skafu shingoni) pamoja na Afisa Afya Mkuu wa Manispaa ya Dodoma Bw. Alek Barakena (mwenye suti nyeusi).

Nyota wa kikapu wa Malawi kuzikabili timu za Dar

 Mratibu wa Sprite BBall Kitaa Karabani Karabani akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar-es- Salaam kuhusu mechi za kirafiki zitakazochezwa Jumamosi na Jumapili katika uwanja wa BBK Park na timu kutoka Malawi. Wa kwanza kulia waliokaa ni mkurugenzi wa ufundi chama cha mpira wa kikapu Malawi Obed Nyirongo, wengine ni wachezaji wa timu ya Bricks na Brave Hearts.

RIPOTI YA TATHMINI YA MAZINGIRA YA KISHERIA KATIKA MWITIKIO WA UKIMWI KATIKA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA ZINDULIWA JIJINI DAR ES SALAAM

 Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Ukimwi Zanzibar (ZAC), Dk.Ali Ali (katikati), Kaimu Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Jumanne Issango (kushoto) na Naibu Mkurugenzi Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Maendeleo (UNDP), Titus Osundina wakikata utepe kwa pamoja kuashiria uzinduzi wa ripoti ya tahmini ya mazingira ya kisheria katika mwitikio wa ukimwi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliofanyika Makao Makuu ya Tacaids Dar es Salaam.

Friday, January 22, 2016

Picha Za Rais Magufuli Akiwa Ndani Ya Sare Za Jeshi Wakati Akisalimiana na Wananchi wa Jiji la Arusha

Amiri Jeshi Mkuu,Rais Dkt Magufuli akiwasikiliza wananchi kwa makini alipopita maeneno ya Sanawali kuwasalimia wakati akielekea Wilayani Monduli.

Rais Magufuli Atua Jijini Arusha Kwa Kishindo

RAIS John Magufuli ametoa mwito kwa Watanzania kumuombea ili aendelee kuwashughulikia wote wanaofanya ubadhirifu wa fedha za umma kupitia kampeni yake ya kutumbua majipu.

Ofisa TAKUKURU Auawa Kinyama

OFISA wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (PCCB) mkoani Dodoma, Emmanuel Meta (37) ameuawa kufuatia kupigwa na kukatwa mapanga  cha watu ambao mpaka sasa hawajafahamika.

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More