Tuesday, June 17, 2025

TFS YAJIDHATITI KUKABILIANA NA MAJANGA YA MOTO MSITUNI

Baadhi ya vijana wakipewa mafunzo ya utimamamu wa mwili kwa ajili ya kulinda na kuzuia mtoto usiharibu miti ya mashamba ya miti Sao Hill.Baadhi ya vijana wakipewa mafunzo ya utimamamu wa mwili kwa ajili ya kulinda na kuzuia mtoto usiharibu miti ya mashamba ya miti Sao Hill.Baadhi ya vijana wakipewa mafunzo ya utimamamu wa mwili kwa ajili ya kulinda na kuzuia mtoto usiharibu miti ya mashamba ya miti Sao Hill.Na Fredy Mgunda,MufindiIkiwa ni kuelekea msimu wa kipindi cha kiangazi, Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania TFS kupitia Shamba la Miti Sao Hill umeendesha zoezi la usahili kwa watumishi wa muda watakaounda kikosi maalumu kwa  ajili ya kupambana na kudhibiti majanga ya moto katika maeneo yanayolizunguka Shamba.Zoezi hilo limefanyika...

Thursday, June 12, 2025

VIJANA FANYENI MAZOEZI MARA KWA MARA KUIMARISHA AFYA

Katika ulimwengu wa leo unaokumbwa na changamoto nyingi za kiafya, viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Lindi wametoa wito maalum kwa vijana na wananchi wote kufanya mazoezi mara kwa mara kama njia ya kuimarisha afya na kuzuia magonjwa yasiyoambukiza. Wito huo umetolewa wakati wa maonyesho ya madini yanayoendelea katika viwanja vya madini wilayani Ruangwa.Katika ulimwengu wa leo unaokumbwa na changamoto nyingi za kiafya, viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Lindi wametoa wito maalum kwa vijana na wananchi wote kufanya mazoezi mara kwa mara kama njia ya kuimarisha afya na kuzuia magonjwa yasiyoambukiza. Wito huo umetolewa wakati wa maonyesho ya madini yanayoendelea katika viwanja vya madini wilayani Ruangwa.Katika ulimwengu wa leo unaokumbwa na changamoto...

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI ZANZIBAR AZINDUA MAONYESHO YA MADINI LINDI

Waziri wa Nishati na Madini wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mheshimiwa Shaibu Hassan Kaduara, amezindua rasmi awamu ya pili ya Maonyesho ya Madini (Lindi Mining Expo) mkoani Lindi, yakilenga kuvutia wawekezaji na kutangaza fursa mbalimbali za rasilimali madini zinazopatikana mkoani humo.Waziri wa Nishati na Madini wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mheshimiwa Shaibu Hassan Kaduara, amezindua rasmi awamu ya pili ya Maonyesho ya Madini (Lindi Mining Expo) mkoani Lindi, yakilenga kuvutia wawekezaji na kutangaza fursa mbalimbali za rasilimali madini zinazopatikana mkoani humo.Waziri wa Nishati na Madini wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mheshimiwa Shaibu Hassan Kaduara, amezindua rasmi awamu ya pili ya Maonyesho ya Madini (Lindi Mining Expo)...

Page 1 of 69612345Next
Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More