Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi, Bi. Zuwena Omary akizunguza wakati kuwapokea rasmi madaktari bingwa 47 chini ya mpango wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, awamu ya tatu, kwa ajili ya kutoa huduma za kibingwa katika hospitali zote za wilaya ndani ya mkoa huo.Baadhi ya Madaktari bingwa ambao wamewasili mkoani Lindi kwa ajili ya kutoa huduma za kibingwa kwa wananchi wote mkoani.Na Fredy Mgunda, Lindi.Serikali ya Mkoa wa Lindi imewapokea rasmi madaktari bingwa 47 chini ya mpango wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, awamu ya tatu, kwa ajili ya kutoa huduma za kibingwa katika hospitali zote za wilaya ndani ya mkoa huo.Akizungumza wakati wa mapokezi hayo, Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi, Bi. Zuwena Omary, alisema kuwa ujio wa madaktari hao ni...