
BARAZA LA MADIWANI LAMPONGEZA MHE. RAIS KWA UTEKELEZAJI WA ILANIBaraza la Madiwani na Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu limemshukuru na kumpongeza Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kazi kubwa na nzuri aliyoifanya ya kuleta fedha nyingi za utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo katika halmshaur hiyo.-Ambapo wamechangia kiasi cha shilingi 1,000,000 kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea Urais kwa Mhe.Rais na shilingi 577,000 kwa ajili ya Mbunge wa Jimbo la Kasulu Vijijini,Mhe.Vuma Olle kuchukua fomu ya kugombea ubunge. Akizungumza leo katika kikao cha robo ya tatu cha Baraza Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo,Mhe. Eliya Kgoma,amesema kuwa ni ukweli usiopingika kuwa...